Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 3,TSHS.35 MILIONI,KIVULE-MAKONDE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko ,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv


















