Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA TAT (3) PAMOJA, INAUZA BANK,TSHS.95 MILIONI TABATA-BIMA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.450
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa ni umbali wa mita 250 kutoka Barabara ya Lami.
Kila moja ina Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia na Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Zinahitaji maboresho kama kurudia rangi na hasa ukiwa na makuu vinginevyo nyumba ni nzuri
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.