Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya Tabata Segerea Shell Oil Company.
Vyumba (viwili kimoja master), sebule, jiko (anaweka makabati), public toilet n.k. Wapangaji wawili tu.
Kodi 400,000/=.
Muhitaji piga 0688412890.



















