Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Location kimara bucha dakika 5 kutembea mpaka home
Kodi 170000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking kubwa
Hakuna fency ila usalama ni wakutosha
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















