Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


SASA NIMEISHUSHA BEI KUTOKA 250,000/=×6 HADI 200,000/=×6.
APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA MPYA KABISA ZINA PANGISHWA NA IMEBAKI MOJA TU
Location: KIMARA STOP OVER
DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️HAKUNA JIKO
✔️HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
✔️INA SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO AMBAYO NI YAKO WEWE TU.
✔️TIRES,GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️MAJI YANAFLOW CHOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 200,000/=×6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp