Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO WASTANI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 320,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI YA KULINDA NYUMBA