Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 200,000 MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉 KUTOKA MAIN ROD KM 1
USAFIRI BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5
SIFA ZA NYUMBA 👇
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI NZURI
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
UMEME MITA YAKO
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENSI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI SH.200,000 MALIPO MIEZI X6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
CONTACT 👇
0722656027