Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Mpya mpya mpya mpya mpya mpya mpya mpya kabisa
Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Location mbezi kwa msuguli dakika 7 kutembea mpaka home karibu kabisa na barabara
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
A/ C ndani
Parking space
Paving block
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















