Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 3 UNAPIGA TEKE GETI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347