Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA
MAHAL KIBAHA KWA MATHIAS
UPANDE WA MSANGANI JESHINI
NYUMBA INA UKUBWA WA ENEO WA ECAR MOJA NA ROBO
ENEO LOTE LIMEZUNGUSHIWA FENS
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HAT YA WIZARA
MAJI DAWASCO NNA KUNA VISIMA VYA KUCHIMBA
KUNA FREMU TANO ZINA ZUNGUKA NYUMBA NA ZINA WAPANGAJI
KUNA NYUMBA NDOGO KWA NJE YENYE UKUBWA WA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
PIA KUNA MABANDA MAKUBWA MATATU YA KUFUGIA KUKU
KUNA MATANK MAKUBWA MAWILI YA MAJI
PIA KUNA NYUMBA KUBWA YENYE SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE
DINNING ROOM
JIKO
STORE
PUBLIC TOILET
AIR CONDITION
NOTE: NYUMBA HII INA ENEO KUBWA SANA LIMEBAKI
BEI 170 MILLION
☎️#0757208653