Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏡STAND ALONE KUBWA SANA INAPANGISHWA
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
400,000X6) KIMARA TEMBONI
KM2
NYUMBA INAPANGISHWA
MAHALI: KIMARA TEMBONI
VYUMBA VINNE VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE.
JIKO KUBWA SANA LA KIBABE
NDANI YA FENCE
STOKUBWA SANA
NYUMBA INAPIGWA PEVING BLOCK YOTE
💰KODI:(400,000X6) FIXED
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA CHOONI
PARKING
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MM