Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI BEACH
-------
Vyumba 4 vya kulala master bedroom
Seble kubwa kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public #Gypsum
Slide window
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 3,000,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 3
-----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ