Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/05/2025
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA - WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA SIMU 0659336751 WSP 0786085637