Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA VINNE (4) TSHS.55 MILIONI,KIVULE/MSONGOLA.
Eneo ni katikati ya KIVULE na MSONGOLA.
Nyumba nzuri ya kisasa ndani ya Fensi.
Vyumba vya kulala 4 ( Masta 2)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 480.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni jirani na Kituo cha Daladala na ni Gari moja tu kufika Mjini.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________msk


















