Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 50
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MWISHO
MAENEO YA YUSUFU
KITUO
UKISHUKA HAPO KWENDA KWENYE NYUMBA UMBALI WA KILOMITA 1 HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BODA BODA 1000
.UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20
NI SAWA NA SM 400
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VINNE 4 VYA KULALA SEBULE JIKO
CHUMBA KIMOJA MASTA
CHOO CHA PABILIKI
UMEME MAJI VYOTE ALISHAWEKA
NYUMBA INAWAPANGAJI
BARABARA INAFIKA HADI
BEI YA KUOZA MILIONI 55
GARAMA ZA KUPELEKWA KUONA 25000
#0785889413🔥🔥



















