Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Tegeta Wazo Kontena
Bei: Milioni 400 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm1094
☑️Sifa: Vyumba 4, Viwili Ni Master Sebule, Dining, Library, Jiko Store & Choo
☑️Umiliki: Hati Ya Wizara
☑️Umbali: Mita 120 Kutoka Lami, Barabara Ni Mkeka.
☑️Decorations Nzuri Sana Ndani
☑️Maji Ya Bomba Na Kisima.
☑️Mabanda Ya Kufugia...0713 636000


















