Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA – TEGETA WAZO
📍 Eneo: Tegeta Wazo
📐 Kiwanja: sqm 600
🏠 Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa, ipo katika mazingira tulivu na salama – inafaa kwa familia!
Sifa za Nyumba:
🛏 Vyumba 4 vya kulala (1 Master bedroom)
🛋 Sebule kubwa
🍽 Dining
🍳 Jiko lenye nafasi
📦 Stoo
🚽 Choo cha nje (public toilet)
👩🍳 Chumba cha mfanyakazi kipo nje
💰 Bei: Milioni 190 (maongezi yapo)
📞 Wasiliana na:
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















