Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 5,TSHS.35 MILIONI,KIVULE/MSONGOLA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ipo jirani na Kituo cha Daladala,
Ina Fensi upande mmoja
Na ni Gari moja hadi Mjini.
Vyumba 5 vya kulala ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv