Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


3/11/2024
Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea
Bei 250000 kwa mwezi
Miezi 3
Location bunju a
Ipo ndani ya fence
Vyumba 3 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme
Contact 0745010009