Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Buyuni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYOTE VINA KABATI, SEBULE NA JIKO ZURI. MAJI YAPO.
NYUMBA IKO YENYEWE KWENYE FENSI.
LOCATION: KITUO BUYUNI, NJIA YA CHANIKA
KODI: 200,000 KWA MWEZI.
CONTAC: 0692423138 / 0719115949.