Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 -8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
Kodi 450,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.