Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATMENT KALI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 600,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA FAMILIA
FULL AC VYUMBANI NA SEBULENI
IPO NDANI YA FENSI PACKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BROCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 1.2 BODA 1000 MPKA GETINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE NI 15000



















