Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT MZURI SANAA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM/ 2, 5
KUFIKA. KWENYE NYUMBA
SIFA ZA NYUMBA
=============
VYUMBA VITATU VYAKULALA VYOTE NI MASTAR SEBULE KUBWA SANAA
NA JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI WAPANGAJI WATATU
FULL PEVING BLOCK
KODI 450,000/=X 4
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179