Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


400,000X6 MBEZI MWISHO
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY WAI SASA MBEZI MWISHO
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko furumakabati na public toilet Vyumba vyote vina makabati
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.5 barabara safi haina kipengere
Umeme unajitegemea
Maji unajitegemea
Ndani ya fence parking IPO ya kutosha
NB: Ukilipia unasubiri siku mbili afanye marekebisho ndani halafu utahamia
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679 956 863
0759151524