Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(500,000X6)MBEZI KWA MSUGURI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APPARTMENT NZURI KALI NA MPYA ZINAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI BARABARA YA ZEGE DK 10 KWA MGUU
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA 3VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO KUBWA
-PUBLIC TOILET
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
-NJIA INA WEKWA ZEGE MPK GETINI
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI WAHI
KODI NI 500,000 ILIPWE MIEZI 5,6
NYUMBA KUDEKI NA KUINGIAAA.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453