Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA, VYUMBA 3. TSHS.120 MILIONI, GOBA-MPAKANI.
Kiwanja SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 
Nyumba tulivu, Salama na yenye Nafasi. 
Vyumba 3 ( 2 Vyoo ndani)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani. 
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000. 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255714591548
______________mpg




















