Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







KIWANJA KIZURI KINAUZWA
LOCATION:MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.7
SIFA ZAKE:
KIMEJENGWA MSINGI TAYARI [ WA NYUMBA KUBWA YA VYUMBA 3,SEBULE, DINING TABLE, JIKO]
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITA 400
( MITA 20 KWA 20)
BEI MILIONI 30 #MAONGEZI YAPO
KIPO TAMBALALE
GARI INAFIKA VIZURI
0677445508