Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI PAMOJA,TSHS.100 UKONGA BANANA.
Hapa ni njia panda ya SEGEREA.
Kila nyumba inajitegemea na ni vyumba 3 kila moja.
Parking ipo yakutosha.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 880.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv


















