Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


πAPARTMENT YA ROOM 2 - BUNJU Bπ
ποΈ Zipo nyumba 4 ndani ya fensi
π Eneo: Bunju B - (Mita 100 Kutoka Main Road)
πΉ Vyumba 2 Vya Kulala
πΉ Sebule ποΈ
πΉ Jikoni π½οΈ
πΉ Choo cha Public π½
πΉ Maji ya DAWASCO π§ (Unajitegemea)
πΉ Umeme wa LUKU β‘ (Unajitegemea)
πΈ Kodi: 400,000/= kwa mwezi
π§Ύ Service Charge: 20,000/=
π² Wasiliana: 0687800788 / 0713958395