Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA ZIPO PANGISHWA KIMARA MWISHO DK15 KWA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BODA BUKA TUU.
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA
MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA MNO
JIKO KUBWA LA KISASA
UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
MAJI YANA FLOW NDANI
PUBLIC TOILET IPO NDANI
PARKING SPACE IPO KUBWA
USALAMA WAKUTOSHA 24HRS
MAZINGILA MANZURI SANA MNO
KODI NI TZS 300,000X"3"
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
CONTACT'S US 0677445508
WHATSAPP :0