Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, SEEMU YA KUPIKIA NDANI AU UNAWEZA FANYA DINNING
*ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347