Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO KUBWA
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#DAINING
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0716 776247
0754 221168