Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
J8ko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿