Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mwanzo Mgumu.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko lenye makabati, public toilet n.k.
Kila kitu unajitegemea.
Kodi 400,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.