Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 300000 K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO
KAMA UNATOKA MUJINI KUSHOTO
UMBALI WA KILOMITA 2 POINT 5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA SANA
CHOO CHA PABILIKI
UMEME ANAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
IPO WAZI NYUMBA MOJA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA