Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Wapangaji wanne
- Kila kitu unajitegemea
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.