Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(350,000X6) UBUNGO MAKOKA DK 7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
=================
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC NDANI
NDANI YA FENCE
TOILET NDANI
NA MAJI UNAJITEGEMEA
DAWASA YANAFROO SAA24
KIOO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPECE KUBWA
BLOCK SAFI
=====================
KODI NI 350k x6
===============
PIGA CM NDUGU MTEJA WANGU UJE UKAE SAHEM SALAMA NA UTURIVU MZURI NO KIPENGELE
=====================
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15,000
===================
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
====================
0716223412
0618976024