Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Bunju, Dar Es Salaam







π  NYUMBA INAUZWA - BUNJU B
π Mahali: Bunju B - Sokoni
π Ukubwa wa Kiwanja: 20m x 20m
π Hati Miliki: Ipo β Hati ya Wizara ya Ardhi
ποΈ Mazingira: Ipo katika mtaa mzuri wa kisasa na unaofaa kwa makazi
π‘ SIFA ZA NYUMBA:
ποΈ Vyumba 2 vya kulala
π½ Choo cha nje (Public toilet)
ποΈ Sebule ya kupendeza
π³ Jiko lenye nafasi nzuri
π° Bei: Milioni 65 TSH (maelewano yapo kidogo)
---
π Wasiliana Nasi kwa maelezo zaidi au kuona nyumba:
π² 0687 800 788
π 0713 958 395
---




















