Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏠APARTMENT KALI INAPANGISHWA
MASTA KALI SANA. INAPANGISHWA
LOCATION;IPO KIMARA SUKA AU UNAWEZA PITIA TEMBO
UMBALI KILOMITA MOJA
USAFILI UPO MWINGI BODA BUKU
UKIPITIA SUKA BODA BUKU
AU KUTEMBEA DK 15 ZA MIGUU
SIFA ZA NYUMBA NI CHUMBA MASTER
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO IPO NDANI YA FENSI KUBWA PARKING KUBWA
UMEME WATATU MAJI YANATOKA CHOONI
BEI ;LAKI 100K KWA MWEZI
100, 000X6
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
#0625606710