Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NI DK 5 TUU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD YA MWENDO KASI
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIKUBWA KIZURI
#JIKO ZURI NDIO LINAJENGWA
#CHOO CHAKE KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENCE MOJA NA MOJA TUU IMEBAKIA
PRICE 250,000 × 6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp