Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#KIBALAZA
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO
❌HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 180,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347