Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM DK 10 TOKA LAMI
________________________
KODI 400000 × 6 + MWEZI 1 WA DALALI
NOTE__ANACHUKUA KODI YA MIEZI 6 CHINI YA HAPO HACHUKUI.
________________________
SIFA YA NYUMBA
_______________________
__NYUMBA 2 KIMOJA MASTER
__SEBULE KUBWA
__JIKO LENYE MAKABATI
__DINNING ROOM
__CHOO CHA FAMILIA
__FULL A/C SEBULENI NA CHUMBANI
__HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
__UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
__BARABARA NI RAFIKI HADI KWENYE NYUMBA
__PARKING KUBWA
__________________________
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300