Nyumba/Apartment inapangishwa Ntyuka, Dodoma


INAPANGISHWA APARTMENT CLASSIC
MAHALI: NTYUKA 📌
-----------------------------
MUUNDO WA NYUMBA
⏭️CHUMBA
⏭️SEBULE
⏭️CHOO NA
⏭️JIKO
-----------------------------
HUDUMA
⏭️UMEME UPO HUSHEI
⏭️MAJI YAPO
⏭️FENSI
⏭️WATER RESERVE
⏭️PARKING SPACE
⏭️JIRANI NA USAFIRI WA UMMA
-----------------------------
⏭️KODI NI 150,000@MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
⏭️PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA
------------------------------
⏭️GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
⏭️0657122976-----WHATSAPP &CALLS
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA