Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


🏠 Apartment inapangishwa – Sinza 🏠
Apartment ndogo na safi, ipo eneo tulivu na salama 💼
🛏 Bedroom: Master
🍳 Jiko: Ipo
⚡ Umeme: Unajitegemea
💰 Kodi: 250,000/= kwa mwezi (malipo kwa miezi 3)
📍 Eneo: Sinza
💧 Maji yapo
🚗 Parking ipo (ikiwa inahitajika)
📞 Piga / WhatsApp: 0678512666
#ApartmentForRent #Sinza #MasterBedroom #DalaliSinza #RentNow


















