Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
AMBAYO IPO WAZI NI MOJA TU
Mahal kibaha MIEMBE SABA
UMBALI NUSU KM KUTOKA MOROGORO ROAD
Unaweza Kutembea DK 10kwa MIGUU
SIFA ZA NYUMBA
Vyumba V2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
DINNING ROOM
Jiko
PUBLIC TOILET
Air condition (AC)
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI
MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 300000x3
☎️ #0757208653
SITE VISIT 15000