Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 × 6) KIMARA MWISHO
HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO KUBWA la KISASA
✔️CHOO CHA WAGENI NJE 🚻
✔️LUKU Na METER YA MAJI INAJITEGEMEA
✔️MAJI DAWASA NDANI 24HRS
✔️NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING KUBWA SANA
LOCATION: KIMARA MWISHO
DISTANCE: KM 1.6 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA KUMWAGA WA KUCHANGIA BAJAJI AU TAX (700) UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
KODI 200,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp