Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Mnaopenda Nyumba Nzuri 🏃🏃♂️💰✍️
KODI 400,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
Ukishuka Dakika 5 Unapiga Geti Teke
✅️SEBULE KUBWA
✅️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️CHOO KIZURI KIPO NDANI
✅️FULL A/c
✅️FULL INTERNET/FREE WI-FI
✅️IPO NDANI YA FENCE
✅️PARKING YA KUTOSHA
✅️USALAMA WA KUTOSHA
✅️CCTV CAMERA 📷
✅️INAJITEGEMEA UMEME
✅️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌ITAKUWA WAZI 30/05/2025
📌KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp