Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: TABATA KIMANGA Kwa Swai
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Main Road Barabara NZURI Mpaka Kwenye Nyumba.
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VITATU vya Kulala Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• Balcony
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Inamaliziwa Kujengwa Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞_𝙣𝙞 Tsh. 350,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp



















