Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT โจ๏ธ
Location: KIMARA SUKA
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI ๐ป
#LUKU Na MAJI INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA SANA ๐
#PAVING BLOCKS ๐ซ
#GARDEN NZURI
#GOOD ENVIRONMENT โ๏ธ
KODI 270,000 ร,6
๐ KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU ๐ถ๐ถ
๐NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐๐ APARTMENT HII MTEJA WANGU NDIO ANAHAMA ITAKUA WAZI KUANZIA 01/05/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ๐ฐโ๏ธ
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp