Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MUDA WOTE NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 13/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168